Wednesday, 2 August 2017

KLOP; LIVERPOOL ITACHUKUA LIGI YA UINGEREZA



Mkufunzi wa Liverpool Jurgen Klopp anasema kuwa kikosi chake kinaweza kushinda ligi baada ya bahati mbaya ya msimu uliopita.

Sunday, 30 July 2017

MSIKIE RAMOSI KUHUSU NEYMAR.



Mchezaji wa Real Madrid Sergio Ramos anaamini kwamba itanwona tena mchezaji  Neymar akiwa amevalia jezi ya Barcelona na si vinginievyo. 

NEYMAR AKUBALI KUJIUNGA NA PSG.

Mshambuliaji wa Barcelona Neymar, 25, amekubali kusaini mkataba wa miaka mitano kujiunga na Paris Saint-Germain na huenda akakamilisha uhamisho wa pauni milioni 197 wiki ijayo. (RMC)

Saturday, 29 July 2017

METHOD MWANJALE NAHODHA MPYA SIMBA.




Benchi la ufundi la klabu ya Simba,chini ya kocha wake mkuu Joseph Omog limefanya marekebisho kwenye eneo la unahodha wa timu. 

OKWI UYOO SAUZI NA JEZI YAKE NAMBA SABA.



Mshambuliaji mpya wa klabu ya soka ya simba Emmanuel Okwi leo ameunga na timu ya simba kule afrika  kusini ambapo wapo kambi kujiandaa na mchezo wa simba day.

WAAMUZI WAPIMWA AFYA LEO TAYARI KWA MSIMU MPYA WA LIGI.



Kuelekea msimu mpya wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara maandalizi kwa upande wa maamuzi watakaochezesha michezo ya ligi hiyo yameanza leo.

Friday, 28 July 2017

TETESI ZA USAJILI IJUMAA YA LEO.



Meneja wa Real Madrid Zinedine Zidane amesema hawezi kutoa hakikisho kuwa Gareth Bale atabakia Bernabeu msimu huu, huku Manchester United wakimfuatilia. (Mirror)