Kuelekea msimu
mpya wa ligi kuu Vodacom Tanzania bara maandalizi kwa upande wa maamuzi
watakaochezesha michezo ya ligi hiyo yameanza leo.
Wammuzi hao
ambao leo wamepimwa afya zao ni wa Ligi Kuu na ligi Daraja la kwanza wamepima
afya zao leo ili kujua afya zao kabla ya kuanza kwa ligi.
Mara baada
ya kupima afya zao kesho jumapili waamuzi hao watafanya kopa test ambayo itafanyika kwenye uwanja wa taifa.
No comments:
Post a Comment