Mshambuliaji
mpya wa klabu ya soka ya simba Emmanuel Okwi leo ameunga na timu ya simba kule
afrika kusini ambapo wapo kambi
kujiandaa na mchezo wa simba day.
Okwi ambae
jina lake ni maarufu mtaa wa msimbazi amerejea tena simba kuongeza nguvu
kuelekea msimu mpya wa ligi kuu Vodacom tanzania.
Simba wamemsajili
okwi kwa mkataba wa miaka miwili na kukabidhiwa jezi namba 7 ambayo ilikua ikivaliwa
na Hajji Ugando ambae ameachwa na klabu ya simba.
No comments:
Post a Comment