Sunday, 30 July 2017

MSIKIE RAMOSI KUHUSU NEYMAR.



Mchezaji wa Real Madrid Sergio Ramos anaamini kwamba itanwona tena mchezaji  Neymar akiwa amevalia jezi ya Barcelona na si vinginievyo. 



Beki huyo wa Real Madrid ambae walibadilishana jezi na na star uyo wa kibrazil baada ya mechi ya kirafiki huko Miami jana usiku na kuisaidia Barca's kushinda kwa 3-2.

Neymar ambae anahusishwa kuhama kwa uhamisho uliovunja rekodi kwa kujinga na PSG kwa uhamisho wa   £190million

" Nina uhusiano mzuri nay yey ," ameliambia gazeti la  Marca. "tulibadilisahana jezi mara baaada ya mechi na siwezi kusema ni mara yangu ya mwisho kuonana nae

"hajaniambaia kitu chochote. Kila mmoja ana maamuzi yake  yankuchagua katika maisha yake. Natambua yeye ni mchezaji mkubwa na ni nyota wa  Barcelona – atajua mwenyewe kuchagua maiha yake yake ya mpira,"

No comments:

Post a Comment