Kocha huyo wa zamani wa Manchester United, ambaye alistaafu mwishoni mwa msimu uliopita baada ya miaka 26 ya kuwa kazini Old Trafford, alipokea Shahada ya heshima ya Daktari wa Sayansi (DSc.) kutoka kwa mwigizaji na mshauri wa Ulster, James Nesbitt.
Mwalimu huyo mwenye umri wa miaka 72 alikwenda Ireland Kaskazini kwa ajili ya shughuli hiyo, ambayo ilihudhuriwa na zaidi ya watu 500, hususan wanafunzi na wahitimu.
Ferguson akiwahutubia wanafunzi baada ya kupokea tuzo yake Chuo Kikuu cha Ulster
Ads by SmileysWeLoveAd Options
Wakati wa furaha: Sir Alex Ferguson alipopokea Shahada yake ya heshim jana alipewa tuzo hizi baada ya kuitumikia timu ya kuitumikia timu ya manchester united kwa miaka takribani 21.
Akiwa england ameweza kuvunja recodi kadha wa kadha kama kuvunja rekodi ya timu ya liver kuchukua ubingwa wa england mara18.
No comments:
Post a Comment