Picha za mchezaji Mtanzania akiwa kwenye mazoezi na Samuel Etoo kwa mujibu wa shaffihdauda.com hapa ni kocha wa Chelsea Jose Mourinho akimpa maelekezo kinda wa timu hiyo mtanzania Adam Nditi katika mazoezi yaliyofanyika katika viwanja vya Cobham. Etoo na Nditi Stori za michezo hapa millardayo.com
No comments:
Post a Comment