MKUU wa Chuo Cha Uandishi wa habari (TSJ) Bi Carolyine Setumbi(Kulia), akikabidhi sehemu ya zawadi kwa Mwakilishi wa watoto yatima wa kituo cha Abu-Abdulrahama n,cha jijini Tanga, Mutadina Athuman, kufuatia ziara ya kimasomo ya wanafunzi wa chuo hicho waliotembelea kituo hicho nakujionea hali ilivyo hapo, picha zingine zinaonyesha baadhi ya misaada hiyo samba na watoto hao wakiwa katika picha za pamoja, ziara hii itadumu kwa siku nne hapa tanga, zaid muda mfupi ujao WWW.TAMBARARE HALISI.BLOGSPOT .COM
No comments:
Post a Comment