Sunday, 2 July 2017

USAJILI WA EVERTON MSIMU HUU BALAA.



Klabu ya soka ya Everton ina matumaini ya kumpata mlinzi ya England wa klabu ya soka ya Burnley kwa ada ya uhamisho wa £25miliion. 


Keane, 24, ambae anatazamiwa kwenye kwenye vipimo vya afya ndani ya saa
24 zijazo tayari kwa kukamilisha dili hilo ambalo litaongeza nguvu kwenye klabu ya Everton.

Everton tayar wameshatangaza kwa kumsajili mchezaji Kutoka katika klabu ya Malaga mwenye umri wa miaka 21 Sandro Ramirez.

Usajili wa Keane's baada ya kukamiliwa unaifanya klabu ya Everton's kutumia zaidi ya £90m mpaka sasa kwenye usajili wa msimu huu.

Everton tayar imefanya usajili wa mchezaji wa Sunderland's England's Under-21golikipa Jordan Pickford kwa dau la £30m  na mchezaji wa Ajax  Davy Klaassen kwa uhamisho wa  £24m. 


No comments:

Post a Comment