Everton
wanataka kutoa kiasi cha pauni milioni 20 kwa ajili ya straika wa Arsenal,
Olivier Giroud, kwa mujibu wa taarifa kutoka Daily Mirror.
Giroud,30
huenda akaondoka Emirates kufuatia kwa uhamisho
ambao upo njiani ya Alexandre
Lacazette katika dimba la Emirates kwa pauni milioni 44 kutoka Lyon.
Mwezi
januari Giroud alisaini mkataba mpya wa kubaki Emirates mpaka mwaka 2020.
No comments:
Post a Comment