Klabu ya
soka ya Simba imemsajili golikipa Saidi Mohammed wa klabu ya soka ya mtibwa kwa
kandarasi ya miaka miwili.
Saidi Mohamed
ambae yupo na timu ya taifa ya Tanzania Taifa stars kwenye fainali za Kombe la
Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (CHAN 2018). Fainali
za CHAN mwakani zitafanyika nchini Kenya.
Simba wamemchukua
kipa huyo kuungana na Aishi Manula kwa lengo la kuongeza nguvu kwenye klabu ya
simba.
Saidi Mohamed
alichaguliwa kuwa kipa bora kwenye michuano ya COSAFA iliyomalizika kwa
tanzania kushika nafasi ya Tatu,

No comments:
Post a Comment