Ratiba ya Ligi Kuu Soka Vodacom Tanzania bara
imetoka leo kwa michezo ya ligi hiyo kuanza kutimua vumbi tarehe 26 mwezi wa 8
kwa michezo 7 katika vuwanja mbalimbali.
26/08/2017
Ndanda FC v Azam FC
Mwadui FC v Singida United
Mtibwa v Stand United
Simba v Ruvu Shooting
Kagera v Mbao FC
Njombe Mji v Proson
Mbeya City v Majimaji FC
27/08/2017
Yanga v Lipuli
No comments:
Post a Comment