KOCHA mkuu wa Timu ya Taifa ya Rwanda Antoine amesema kwamba Amavubi wataonyesha safi watakapocheza na Timu ya Taifa ya Tanzania za kufuzu CHAN 2018 katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
“Kila mchezaji wangu kwenye timu yangu anafuraha, wachezaji wote wana hamasa ya mchezo, cha kufurahisha ni wachezaji wote wazima, leo tumefanya mazoezi mara mbili, tunawajua Tanzania na tunawaheshimu na wamejiandaa kama sisi kiakili pamoja na kimchezo ila tutaenda kushinda,” kocha mkuu wa Rwanda
Mchezo huo
utachezwa siku ya jumamosi katika dimba la CCM Kirumba Mwanza wa hatua ya mwazo
ya kufuzu michuano ya CHAN 2018.

No comments:
Post a Comment