Tuesday, 11 July 2017

JAMES RODRIQUEZ UYOOOO BAYERN MUNCHEN




Klabu ya FC Bayern München na  Real Madrid le wamekubaliana kufanya uhamisho  wa mkopo wa mchezaji wa Colombian James Rodríguez. 



Wilabu vyote viwili vimekubaliana kufanya uhamisho uo wa miaka miwili mpaka 30 June 2019 kukiwa na kipengele cha FC Bayern München kumnunua mchezaji huyo kama watataka

James Rodríguez atasaini mkataba huo wa kujiunga na Munich kama endapo atafuzu vipimo vya afya ambavyo vitafanyika hv karibuni.


No comments:

Post a Comment