Monday, 3 July 2017

DANILO KUTUA CHELSEA




KLABU ya Chelsea wamefanya mawasiliano na Real Madrid kuhusu uwezekano wa kufanya biashara ya uhamisho wa beki Danilo, kwa mujibu wa taarifa kutoka Marca.


Danilo,25 ameshindwa kupata namba mbele ya beki Dani Carvajal katika
kikosi cha Zidane, na pia Juventus nao wameonyesha nia ya kutaka kumsajili baada ya kuondoka kwa Dani Alves.    

No comments:

Post a Comment