Tanzania imepanda
kwa nafasi 25 kwenye viwango vya FIFA vilivyotolewa leo kutoka nafasi ya 139
mpaka nafasi ya 114 duniani.
Kupanda kwa
nafasi hizo ni kutokana na Tanzania kufanya vyema kwenye michuano ya COSAFA inayondelea huko Afrika
Kusini.
Kwa sasa Tanzania
inajiandaa kucheza mchezo wa CHANI kwa wachezaji wa ndani dhidi ya RWANDA
ambapo wapo nafasi ya 127 mchezo ambao utachzwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba Mwanza.
Kwa upande
wa nafasi ya kwanza imeshikiliwa na Ujerumani nafasi ya pili ikishikiliwa na
Brazili huku ya tatu ni Argentina.

No comments:
Post a Comment