Wednesday, 20 August 2014

MACHESTER UNITED WAMSAINI ROJO AMBAYE AKIWA NCHINI URENO AMEONYESHWA KADI NYEKUNDU ZAIDI YA MARA...

First team member: Rojo will wear the No 5 shirt and has signed a five-year contract at the club
Manchester United wamethibitisha wamemsaini Mlinzi wa Sporting Lisbon Marcos Rojo kwa  ada ya uhamisho ya £ 16million.

Rojo, alisema 'anahisi kama ndoto kujiunga na United, amesaini mkataba wa miaka mitano baada ya kufudhu vipimo vya matibabu na kukubaliana masuala binafsi.

Rojo akiwa nchini Ureno alionyeshwa kadi ya njano mara 27 na nyekundu mara tano.
Rojo is red: Manchester United have finally confirmed the signing of Marcos Rojo from Sporting Lisbon
First team member: Rojo will wear the No 5 shirt and has signed a five-year contract at the club
First team member: Rojo will wear the No 5 shirt and has signed a five-year contract at the club
Arrival: Marcos Rojo leaves his hotel in Manchester on Wednesday
Arrival: Marcos Rojo leaves his hotel in Manchester on Wednesday
Dreamland: Rojo arrives in Manchester with a member of United's club staff
Dreamland: Rojo arrives in Manchester with a member of United's club staff
Medical marvel: Rojo at the Bridgewater Hospital to complete the formalities of his move

No comments:

Post a Comment