Tuesday, 29 October 2013

MAN UNITED v NORWICH CITY


RAUNDI ya 4 ya CAPITAL ONE CUP, zamani likiitwa Kombe la Ligi, zitachezwa kuanzia JumanneCAPITAL_ONE_CUP-BEST
Usiku na moja ya Mechi kubwa na yenye mvuto mkubwa ni ile itakayochezwa Uwanja wa Emirates kati ya Wenyeji Arsenal na Chelsea.
Usiku huo huo, Mabingwa wa England, Manchester United, watakuwa kwao Old Trafford kuwakaribisha Norwich City.
RAUNDI YA 4

RATIBA
[Mechi zote kuanza Saa 4 Dakika 45 Usiku]
Jumanne Oktoba 29
Arsenal v Chelsea
Birmingham v Stoke
Burnley v West Ham
Leicester v Fulham
Man United v Norwich      
Jumatano Oktoba 30
Newcastle v Man City
Tottenham v Hull   
Jumatano Novemba 6
Sunderland v Southampton
DONDOO MUHIMU:
-KLABU 92 za BPL [Klabu 20] na Ligi za Madaraja Matatu ya chini [Championship, Ligi 1 na 2, Jumla Klabu 24 kila Ligi] hushiriki Raundi 7 za Mashindano.
-NUSU FAINALI huchezwa kwa Mtindo wa Mtoano wa Nyumbani na Ugenini.
-KLABU ZA BPL HUANZA kushiriki Raundi ya Pili lakini zile ambazo zinacheza Mashindano ya UEFA ya CHAMPIONZ LIGI na EUROPA LIGI huanza kucheza Raundi ya Tatu.
-FAINALI ITACHEZWA TAREHE 2 MACHI 2014 Uwanja wa Wembley na Bingwa hushiriki UEFA EUROPA LIGI Msimu unaofuata.
-MFUMO:
Raundi ya 1: Wiki ya kuanzia Agosti 5
Raundi ya 2: Wiki ya kuanzia Agosti 26
Raundi ya 3: Wiki ya kuanzia Septemba 23
Raundi ya 4: Wiki ya kuanzia Oktoba 28
Raundi ya 5: Wiki ya kuanzia Desemba 16
Nusu Fainali-Mechi ya Kwanza: Wiki ya kuanzia Januari 6
Nusu Fainali-Marudiano: Wiki ya kuanzia Januari 20
Fainali: Jumapili 2 Machi 2014

No comments:

Post a Comment