Friday, 11 October 2013

ESSIEN ALA 'SHAVU' LA UEFA NA AKINA RONALDO, ROBBEN

WAKATI mechi za kufuzu kwa Fainali Kombe la Dunia zikiwa katika hatua za mwishoni Ulaya, UEFA imewaita baadhi ya wachezaji nyota katika mchezo huo kuwatumia kwa ajili ya kampeni ya kupiga vita ubaguzi wa rangi.
Bodi hiyo ya soka Ulaya imetoa video 32 ikionyesha wachezaji kutoka sehemu mbalimbali wakiwemo Cristiano Ronaldo, Arjen Robben na Michael Essien wakisaidia kufikisha ujumbe wa UEFA wa kampeni hiyo ya heshima.
Star man: Real Madrid's Cristiano Ronaldo makes an appearance in UEFA's anti-racism video
Nyota: Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo yumo kwenye video ya UEFA kupiga vita ubaguzi

Essien si mchezaji pekee wa Ligi Kuu ya England aliyeshiriki video hiyo, kwani ameungana na wachezaji wenzake wa The Blues akina Branislav Ivanovic na David Luiz, wakati Manchester City amechukuliwa mchezaji mpya, Stevan Jovetic.
Chelsea duo: Branislav Ivanovic undertakes a speaking role in a video also containing Blues team-mate Michael Essien
Chelsea duo: Branislav Ivanovic undertakes a speaking role in a video also containing Blues team-mate Michael Essien
Wawili wa Chelsea: Branislav Ivanovic kushoto ameshiriki video hiyo pamoja na mchezaji mwenzake, Michael Essien
Premier League stars: Chelsea's David Luiz and Manchester City's Stevan Jovetic also feature
Premier League stars: Chelsea's David Luiz and Manchester City's Stevan Jovetic also feature
Nyota wa Ligi Kuu England: Beki wa Chelsea, David Luiz na mshambuliaji wa Manchester City, Stevan Jovetic wamo pia
Beginning and end: Arjen Robben and Howard Webb open and close the video respectively
Beginning and end: Arjen Robben and Howard Webb open and close the video respectively
Mwanzo na mwisho: Arjen Robben na Howard Webb pia wamo

No comments:

Post a Comment