Robin Van Persie ataendelea kua nje katika mchezo wa kombe la ligi (Capital One Cup) dhidi ya Liverpool kesho.
Hii ni habari mbaya kwa Manchester United kwani kiungo wao ambaye alifanya vizuri katika mchezo uliopita dhidi ya Man City, Fellaini nae pia atakua nje kwa sababu ameshaichezea Everton katika michuano hiyo hiyo kua batili kwa michuano hiyo.
Unaonaje nafasi ya timu hizi kuibuka na ushindi - Man U ama Liverpool ipi itaibuka kifua mbele?
Habari mbaya zaidi kwa Man U na nzuri kwa Liverpool ni kwamba Luis Suarez atarejea dimbani katika mchezo huo.
No comments:
Post a Comment