 |
Baada ya kuwasili uwanja wa ndege Zanzibar |
 |
Nikiongea mawili matatu na baadhi ya waandishi waliokuwa wamepiga kambi uwanjani kunisubili |
 |
Watu walikuwa wameshapata taaarifa kuwa nimewasili,hapa baadhi ya mashabiki wakisubiri kwa hamu kumwona the president |
 |
Nikizungumza na watu wangu wa zanzibar ndanui ya kituo kikubwa kabisa cha Radio Zanzibar.Coconut Radio |
 |
Baadae nikakutana na waandishi wa habari ndani ya hotel ya kisasa kabisa,Zanzibar beach lesort |
 |
Wanahabari kazini |
Unataka kujua mimi na True boy tulifanya nini Zanzibar?stay visting ....
No comments:
Post a Comment