Klabu ya
Manchester United imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya Real Salt
Lake katika mchezo wa kirafiki uliofanyika huko nchini Marekani.
Katika mchezo
huo mabao ya timu hiyo yalifungwa na Henrikh Mkhitaryan na Romelu Lukaku huku
goli la Real Salt Lake likifungwa na Luis Silva.
Lukaku amecheza
mchezo wake wa pili akiwa na jezi ya Man U na kuibuka na ushimdi katika mchezo
wake wa pili akiwa na Man U.

No comments:
Post a Comment