Friday, 30 June 2017

CHELSEA KUFANYA USAJILI WA KUTISHA MSIMU HUU.



Klabu ya soka ya  Real Madrid  bado ina mpango wa kumsajili nyota wa klabu ya Chelsea Eden Hazard huku klabu yake  ikisema haina mpango wa kumuuza mchezaji huyo, reports OK Diario .


Gazeti la The Telegraph limeandika Chelsea inajiandaa kufanya
uhamisho wa  wachezaji Tiemoue Bakayoko, Antonio Rudgier na Alex Sandro, ambapo inakadiriwa endapo wakitua darajani wataikosti klabu £125 million

Mchezaji wa Chelsea John Terry amekubali kutua kyenye klabu ya  Aston Villa kwa mkataba wa mwaka mmoja, talkSPORT reports.



No comments:

Post a Comment