Monday, 21 November 2016

FA, YAANZA KWA KISHINDO.

Michuano ya FA, ilianza jana rasmi kwa michezo kadhaa ambapo mchezo wa ufunguzi iliwakutanisha muheza united dhidi ya sifapolitan.

Katika mchezo matokeo yalikua  Muheza united 0- 1 Sifapolitan

Mchezo mwingine wa  FA Kituo cha Karume ulimalizika kwa Mbuga FC kusonga mbele kwenye hatua nyingine ya michuano hiyo baada ya kuiondosha  Makumbusho FC katika michuano hiyo ya FA.

No comments:

Post a Comment