Klabu ya Manchester United huenda ikakosa mchango wa
mshambuliaji chipukizi Anthony Martial ambaye alipata majeraha ya mguu wakati
akiiwakilisha timu yake ya Taifa ya Ufaransa katika mchezo wa kirafiki dhidi ya
Uingereza Jumanne usiku.
Huenda chipukizi huyo anaekipiga kunako klabu ya
soka ya MAN U akaukosa mchezo wa wiki end hii ambapo timu yake itakua na
kibarua na Watford ugenini siku ya
jumamosi na mchezo mwingine wa ligi ya mabingwa ulaya siku ya jumatanio ambapo
timu yake itakuwa nyumbani kuwasubiri PSV Eindhoven
Martial ni kijana mwenye umri wa 19-year-old ambae alisajiliwa na klabu ya man
u kwa ada ya uhammisho wa £36million kutoka Monaco in September.
United pia tayar imempoteza Michael Carrick kwa kipindi hiki cha muda international break kwa tatizo la enka
No comments:
Post a Comment