Tuesday, 10 November 2015

MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger atoa la moyoni.

MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa hadhani kama ataweza kufundisha klabu nyingine ya Ligi Kuu kama akitimuliwa na klabu yake. 
Meneja huyo raia wa Ufaransa amekuwa akiinoa Arsenal toka mwaka 1996, akishinda mataji matatu ya Ligi Kuu, sita ya Kombe la FA katika kipindi cha miaka 19 alichokaa hapo.
Na wakati mkataba wake wa sasa ukikaribia kumalizika mwaka 2017, Wenger amedai kuwa anaweza kuendelea kuinoa Arsenal lakini kama akiondolewa hadhani kama anaweza kutafuta timu nyingine Uingereza. Wenger amesema soka imekluwa kitu anachopenda hivyo hata akiondoka Arsenal lazima ataendelea kufundisha lakini haitakuwa Uingereza.

MENEJA wa Arsenal, Arsene Wenger amesisitiza kuwa hadhani kama ataweza kufundisha klabu nyingine ya Ligi Kuu kama akitimuliwa na klabu yake. Meneja huyo raia wa Ufaransa amekuwa akiinoa Arsenal toka mwaka 1996, akishinda mataji matatu ya Ligi Kuu, sita ya Kombe la FA katika kipindi cha miaka 19 alichokaa hapo. Na wakati mkataba wake wa sasa ukikaribia kumalizika mwaka 2017, Wenger amedai kuwa anaweza kuendelea kuinoa Arsenal lakini kama akiondolewa hadhani kama anaweza kutafuta timu nyingine Uingereza. Wenger amesema soka imekluwa kitu anachopenda hivyo hata akiondoka Arsenal lazima ataendelea kufundisha lakini haitakuwa Uingereza.

Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
MSHAMBULIAJI nyota wa Leicester City, Jamie Vardy ambaye ndio mfungaji anayeongoza kwasasa katika Ligi Kuu, ametajwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Octoba baada ya kufunga mabao matano katika mechi nne. Nyota huyo wa kimataifa wa Uingereza mwenye umri wa miaka 28, ameafunga mabao 12 katika mechi 12 za ligi msimu huu huku akifunga katika mechi tisa zilizopita na kuisaidia Leicester kukaa katika nafasi ya tatu. Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger yeye ameteuliwa kuwa meneja bora wa mwezi baada ya kushinda mechi nne alizosimamia mwezi uliopita na kukifanya kikosi chake kukaa katika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi. Hiyo inakuwa tuzo ya 15 kwa Wenger toka aanze kuinoa Arsenal. Wenger mwenye umri wa miaka 66, alimshinda meneja wa Leicester Claudio Ranieri ambaye yeye ameshinda mechi mechi tatu mwezi uliopita.

No comments:

Post a Comment