MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Daniel Sturridge amepata
majeruhi mapya baada ya kuumia mguu akiwa mazoezini na kumfanya kuukosa mchezo
wa Europa League dhidi ya Bordeaux jana.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26,
alikuwa akitarajia kurejea tena uwanjani jana baada ya kupona majeruhi ya goti
ambayo yalimuweka nje toka Octoba 4 mwaka huu. Hata hivyo, mshambuliaji huyo wa
kimataifa wa Uingereza alipelekwa kufanyiwa vipimo baada ya kulalamika maumivu
ya mguu. Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema hajui sana kuhusu hali yake
lakini hadhani kama ni tatizo litakalomuweka nje kwa muda mrefu. Sturridge
amecheza mechi tatu pekee msimu huu huku msimu uliopita akicheza mechi 18
kutokana na majeruhi ya mara kwa mara ambayo yamekuwa yakimuandama.
MSHAMBULIAJI wa
Liverpool, Daniel Sturridge amepata majeruhi mapya baada ya kuumia mguu
akiwa mazoezini na kumfanya kuukosa mchezo wa Europa League dhidi ya
Bordeaux jana. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 26, alikuwa akitarajia
kurejea tena uwanjani jana baada ya kupona majeruhi ya goti ambayo
yalimuweka nje toka Octoba 4 mwaka huu. Hata hivyo, mshambuliaji huyo wa
kimataifa wa Uingereza alipelekwa kufanyiwa vipimo baada ya kulalamika
maumivu ya mguu. Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema hajui sana
kuhusu hali yake lakini hadhani kama ni tatizo litakalomuweka nje kwa
muda mrefu. Sturridge amecheza mechi tatu pekee msimu huu huku msimu
uliopita akicheza mechi 18 kutokana na majeruhi ya mara kwa mara ambayo
yamekuwa yakimuandama.
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
Copy the BEST Traders and Make Money : http://bit.ly/fxzulu
No comments:
Post a Comment